The B1M channel imeangazia Kenya's standard gauge railway

The B1M ndio channel inayoheshimika zaidi kwenye youtube kuhusu mambo ya construction. Wamefeature the Kenyan standard gauge railway. Wenzetu reli yao iliyostahili kuanza kazi 2019 bado haijakamilika. Waturuki Mungu anawaona tu.

Kuangaziwa kwa hiyo gari moshi haiifanyi kuwa modern SGR, buda
 
Dah! Nzuri sana....
Halafu hamna viumbe wavumilivu kama Watz, yaani mpaka leo kuna SGR wanaisubiri kale kasafu ka Dar-Moro ambapo ilikua waanze kukatumia 2019, Mturuki hadi leo anachimba mahandaki.
 
But I'll keep reminding you that, that's not chinese Gari moshi,right?
 
Dah! Nzuri sana....
Halafu hamna viumbe wavumilivu kama Watz, yaani mpaka leo kuna SGR wanaisubiri kale kasafu ka Dar-Moro ambapo ilikua waanze kukatumia 2019, Mturuki hadi leo anachimba mahandaki.
Nafkiri wanataka wamalize phase ya Morogoro to singida ili ianze pamoja. Train ikitoka Dar inafika Hadi Singida, sio inatoka Dar inaishia Morogoro. It would make sense that way huku phase nyingine zikiwa zinaendelea taratibu
 
Hahaha. Hivyo ndivyo umeamua kujidanganya?
 
Nafkiri wanataka wamalize phase ya Morogoro to singida ili ianze pamoja. Train ikitoka Dar inafika Hadi Singida, sio inatoka Dar inaishia Morogoro. It would make sense that way huku phase nyingine zikiwa zinaendelea taratibu
Singinda ndo kitongoji gani? Kuna abiria na mizigo kiasi gani Singinda ndio reli ya stima iishie hapo
 
Back
Top Bottom