kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

    SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
  3. Moment of silent

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu mawasiliano yangu ya simu

    Habari za mda huu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani. Watu tofauti walipokuwa wakinipigia walikuwa wakipewa ujumbe huu.''Namba unayopiga haipatikani kwa sasa" Cha kushangaza Mnara unasoma...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

    Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3. Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

    Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu. Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila...
  6. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Barnaba Classic azungumzia kuhusu mwonekano wake wa kike

    Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike. Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kujuzwa kuhusu hali ya Mafuta nchini

    Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi. Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  13. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Nyumba Za Kupanga Alizosema Mh. Lukuvi

    Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake .. Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz

    Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz. Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusu Ethiopia

    IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...
  16. Oxlade_Chamberlain

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao. Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St Teresa of avila girls Secondary school

    Habari wana jf, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO. Nimejaribu kutafuta address zao kwenye website nimepata namba ambazo hazitumiki kwa Sasa. Naomba...
Back
Top Bottom