Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa

1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises 🚢 nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania

Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
 
Pia nahisi elim yetu bado ni tatizo sana , inamjenga mtu kuajiriwa tu na graduate wengi hawajiamiji kabisa katika ung'amuzi wa mambo , pia elim haifanyi mtu kubadilika kutokana na nyakati ,
Vijana wakitanzania wenzangu tubadilike wakati ndio huu , hakuna wakukukwamua kutoka hapo ulipo bila ww mwenyewe kujituma
 
Aisee ni kweli bwana tumelala sana watz,na wakati mwengine tujiajili hata kwa kuwa wajasilia mali wadogowadogo kama vile bodaboda,saloon,mama ntilie ni vitu ambavyo vinalipa na unaweza kusev pesa ukafanya makubwa.
 
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa

1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises [emoji568] nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania

Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Wazo zuri sana..ila ardhi haiwezi kuisha..mana hatuna sera kama kenya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umeandika kirahisi sana mkuu. Kwenda nje kwa sasa ni mpaka uwe na passport na kianzio.

Kupata passport mtihani hapo uhamiaji.

Kupata kianzio labda uwe na milioni tatu hadi tano na kuendelea. Tiketi nauli n.k

Mfano kuna dogo alipata mchongo Japan ila nauli tu inacheza kwenye 2.5-3.5M.
 
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa

1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises 🚢 nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania

Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Fafanua/elezea namna ya kupata hizo kazi Mwana diaspora
 
Moyo wa kujilipua, uvivu wa kufikiri na kutenda pamoja na moyo wa ustahimilivu na kuwa na matumaini katika kupambania kesho ndiyo tatizo kwa watanzania.

Tunatamani kufanikiwa ila tunaogopa na hatutaki kuteseka wakati wa kutafuta hayo mafanikio.

Maisha siyo mepesi, ila kwa bahati mbaya taswira ya maisha mazuri yametawala ubongo mpaka tunashindwa kutafakari mchakato mpaka kuyafikia hayo maisha.

Safari ni ndefu.
 
Sina muda huo kwasasa sisi wakati wetu tulikuwa hatuna mitandao lakini tulitafuta vyuo kwa kwenda library na cafe za computer unalipita kwa saa! Vijana inabidi muweke utamaduni wa kutafuta msi subiri sisi tuna wapa habari nyie tumieni mitandao kama wenzenu wa kenya
 
Hapo kwenye kujilipua hapo umenishtua, Moyo wa kujilipua? Yaani hao tunaosikiaga kwamba amejilipua au?!
 
Ukijiunga na sites za online ambazo zitapokea makala yako hizo sites zinasema zitakulipa kwa pay Pal.

Na PayPal hapa Tz haipokei pesa. Hilo siyo kosa langu kijana ni kosa la watunga sera. Kenya inapokea pesa kupitia paypal

Nikitaka kufungua blog natakiwa kuilipa serikali mpaka kufikia kiasi cha 1M ambacho sina hicho kiasi. Kenya (nafikiri na nchi zote) huilipi serikali yako ili ufungue blog.

Ukitaka kulima na uone kilimo kinakulipa unahitajika kua na pesa ya kutosha. Mbolea ya kupandia na ya kukuzia, gharama za upandaji, ulimaji, palizi, madawa n.k. hizi pesa zote graduate natoa wapi?

Mwaka huu mbolea ya kukuzia na ya kupandia zinauzwa 95K na 105K, upandaji, ulimaji na palizi unagharimu 150K, madawa yanaenda 30K+ na unatakiwa uyanunue mara tatu kila wiki kwa miezi minne.

Wazee kila siku hua nasema hakuna mtu ambaye ataona chansi ya kujituma apate pesa halafu ataigomea. Hakuna mtu anayependa akiamka asijue asubuhi anaianzaje.

Ndiyo maana option rahisi hua inakua kutembeza bahasha ya CV.
 
Hapo kwenye kujilipua hapo umenishtua, Moyo wa kujilipua? Yaani hao tunaosikiaga kwamba amejilipua au?!
Hapana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23].

Kujilipua ni kama kuamua liwalo na liwe kazi yoyote nafanya kwa bidii zote ilimradi ya halali na itanisaidia kupiga hatua kufikia malengo bila kujali elimu yangu.
 
Hapo sawa mkuu, tuko pamoja sana.
 
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa

1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania ilimradi tu uwe na mtandao wa uhakika mfano kuna kazi kibao zinafanywa nchini India, Malaysia ambazo ni za nchi nyingine hasa kwenye science, engineering na accounting.
2. Wakenya wanapata kazi za Nurse nchi za nje na wanalipwa $50,000 mpaka $80,000 wanaenda kwa mikataba na wanafanya mitihani. Hatuoni Watanzania ni wakenya ndiyo wamejaa huko!
3. Kuna kazi za kwenye meli za utalii cruises 🚢 nimeona kuna wakenya wanaenda huko Miami kufanya kazi kutokea kenya sijasikia mtanzania

Badala ya kushinda kwenye mitandao kujadili umbeya wa wasanii jitafutieni kazi za kusaidia familia zenu. Acheni kulalamika sisi miaka ya 90’s tulikuwa na vyuo vichache zaidi na mitandao haikuwepo lakini tulitafuta njia za kupata vyuo na kwenda nje badala ya kukaa na kulalamika kila siku. Msitegemee serikali itawalisha. Vilevile fikirieni biashara za kilimo kabla ardhi haijaisha mkijopanga mnaanza kidogo na hivyo hivyo mnakuwa kibiashara. Mfano mnaweza kuweka group yenu mmoja akaenda kenya ambao hakuna visa mmoja wenu akapata sehemu ya kuuza mazao na wengine kupeleka kule na hivyo kukata madalali na kupata faida kubwa sana. Inabidi hivi vitu utafute mwenyewe na kujituma na sio kusubiria kila kitu kuambiwa.
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.

Sisi tz tunajuana hasa nyie wazee vijana mnaviroho vya kusonipata unaongea hapa ili tu uonekane umeongea au vijana wazembe na n.k ila siajabu ndugu zako wapowapo tu na humu jamii forum hata inbox tu ujibu au hutoi ushirikiano.
Ovyo Sana..!
 
Tatizo ushirikina ndg wengi wa kiafrika wana hizi mambo ndo maana wengi wakifanikiwa hawatoi ushirikiano mzuri kwa ndg zao Ni heri amsaidie mtu baki kuliko ndg, ninayo mifano mingi juu ya hili
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.

Sisi tz tunajuana hasa nyie wazee vijana mnaviroho vya kusonipata unaongea hapa ili tu uonekane umeongea au vijana wazembe na n.k ila siajabu ndugu zako wapowapo tu na humu jamii forum hata inbox tu ujibu au hutoi ushirikiano.
Ovyo Sana..!
 
Tuanze na wewe kwenye ukoo wako naamini Kuna vijana kama senior umewasaidia vipi kupata au kuona fursa kma unazotuambia hapa haitoshi kumwambia mtu changamka bila kumpa ramani pita hapa katisha pale hivyo ndivyo wenzetu wakenya na wanigeria wanabebana.

Sisi tz tunajuana hasa nyie wazee vijana mnaviroho vya kusonipata unaongea hapa ili tu uonekane umeongea au vijana wazembe na n.k ila siajabu ndugu zako wapowapo tu na humu jamii forum hata inbox tu ujibu au hutoi ushirikiano.
Ovyo Sana..!

Exactly! wanaboa sana hawa wazee mtu hutoi maelezo watu wafanyeje kufikia huko then unalaumu vijana wazembe?
 
Imeandikwa iwe ngumu ili wawenayo wachache..!
 
Back
Top Bottom