sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua wengi.
Kwa kifupi mimi nachojua hii ni mitihni ambayo hufanyika marekani ili kuingia chuo, ni kama mitihani ya necta ya form 6 hapa kwetu.
Marekani inaruhusu mitihani hii kufanyika nchi nyingi ikiwemo hata hapa kwetu Tanzania kwa gharama isiyozidi 150,000/=, nilivyosikia inabidi uwe umeshaanza form 5 au umeshamaliza six.
Vituo vya kufanyia miihani ni ubalozini, International school of Tanganyika, Dar academy, International school of moshi, n.k. hizi ni shule zenye mitaala ya cambidge, ada ya milioni 30 ni kawaida.
mitihani ya kuifanya nimiona na kiukweli ni mirahisi mno hasa kwa hisabati.
Nikiwa nafatilia nikaja kuonani kweli watu wanasomeshwa nje, kuna dogo mwaka jana alipomaliza six alipata ufadhili saizi yupo utuuruki.
haya mmbo yapo tangu zamani na kiukweli nimeumia, maana yanafanywa kwa siri