Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,782
Screenshot_20211031-152839_Chrome.jpg

1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika.

2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine
3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje?
4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na mzungu akaniambia ni old model hazitengenezwi tena. Vipi uimara wake hizo MF 290 4WD?

5. Asanteni
 
Back
Top Bottom