kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Alistair Group

    Habari zenu wakubwa na wadogo Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu bati G30 hasa kwa mazingira ya pwani?

    Wakuu nimeona kuna gap la kama milioni moja kwa bei ya G30 na G28, je bati G30 haina shida?
  3. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Kama mke ndiyo kikwazo cha kufikia matarajio, utaachana naye kama utakavyofanya kwa watu wengine wa karibu?

    Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya. Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu...
  4. Slowly

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakula Kasa licha ya wengine kufa kwa sumu waliyonayo?

    Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani .. Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

    Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH! Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chama kipo kimya kuhusu Nape

    Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao 1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather 2. Kusema chama kina wenyewe Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama. Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  11. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

    Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu watanzania

    Kuna mambo katika jamii yetu ya kitanzania huwa yananishangaza sana, baadhi ya mambo hayo ni haya: 1.Mtu anakwambia hafuatilii siasa, ila ukifika wakati wa uchaguzi, anaenda kupiga kura! 2.Miaka 60 ya uhuru bado tunakimbiza mwenge! 3.Mtu(mimi mwenyewe nikiwemo), ana bachelor, masters, PhD au...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

    Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

    Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati...
  18. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  20. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

    Abuu Kauthar Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
Back
Top Bottom