Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu.

Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila anachofanya ni maigizo kuwa anawapenda na anawafurahia hao wanaume ili apate hela, anaigiza kufurahia uwepo wa mwanaume ila kiuhalisia rohoni anakereka.

Nikasema mmh kazi ipo, jiulize mdada anaetaka umuhonge uli ukutane nae, rohoni anajisikiaje.
 
Maana yake pale Kaz yake n kutoa mbususu na kupata chake🤑
haijalish kafurahia🤣 au hajafurahia😩.
starehe hizi dah😃
 
Tatizo hapo sijaona wa hivyo ndio tunawakomoa nikijua kanipendea mkwanja aisee gor 4 up to 7 nimkomeshe yani
 
Wala haina shida kama pesa unayotoa inaendana na huduma unayopata.

Kwani wanadhani sisi hatujua wanatuigizia, tunajua ni vile tu lazma biashara ifanyike baina yetu.
 
Juzi nliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu

Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila anachofanya ni maigizo kuwa anawapenda na anawafurahia hao wanaume ili apate hela, anaigiza kufurahia uwepo wa mwanaume ila kiuhalisia rohoni anakereka

Nikasema mmh kazi ipo, jiulize mdada anaetaka umuhonge uli ukutane nae, rohoni anajisikiaje
Sasa kwani yeye akikereka wee inakujusu nini cha msingi sii wewe kumgegeda na kumtupilia mbali huku ukitafuta mbususu mpya
 
Japo Raha na starehe ya mwanaume kut**mba mwanamke ni ile hali ya kumuoa ke anavyoifeel m*oo wakati wa kukitwa, lakini Kuna wakati inafika unaona bora nimemkojolea tu maisha yanasonga mbele hakiyanani!
Ha ha ha wakati mwingine hata bao lenyewe linagoma kukojoleka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom