kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    Kila nikiwaza Kuhusu Dumu na fagio nakosa mzuka wa kuoa!

    To be honest Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu. NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu Dumu fagio ni hatari kwa kijana Mwenye uelewa sio tu anazalisha Bali anawaza future ya mtoto wake. Madarasa ya Dumu fagio...
  2. Analogia Malenga

    Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  3. M

    Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  4. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
  5. BARD AI

    Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

    Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu...
  6. MakinikiA

    Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
  7. Suley2019

    Baraza la Mtihani (NECTA) kushughulikia suala la Mwanafunzi aliyebadilishiwa namba ya Mtihani

    Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic amesema wakati akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Oktoba 5-6, 2022 alipangiwa namba 40 lakini jina lake lilikuwa namba 39 kwenye katarasi ya kusaini. Anasema alifanya mitihani 5 kwa namba 40 lakini...
  8. B

    Prof. Shivji na maoni yake kuhusu kadhia ya Law School

    Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji: “Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.” Prof. Shivji anafahamika kwa misimamo yake. Anachozungumzia hapo ni umuhimu wa critical thinking...
  9. kavulata

    Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  10. Kipenzi Changu

    Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  11. MamaSamia2025

    Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  12. kilamba lamba

    Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  13. Kindeena

    Ninachokijua kuhusu Law School of Tanzania

    Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania. Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo. 1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni. 2. Somo la field lipo, ila marks...
  14. BARD AI

    Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  15. SaulGoodman

    Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  16. M

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  17. Chachu Ombara

    Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  18. Chachu Ombara

    Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  19. Jemima Mrembo

    Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  20. ANT DRUGS

    Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

    Hope mmeamka salama. Naomba anayejua anisaidie na mimi kujua÷ 1. Kwanini mtu akifa anaoshwa? Anazikwa ardhini na kufukiwa sasa huo usafi anaofanyiwa unamsaidia nini as long as atachanganyikana na mavumbi soon? 2. Mtu akishazikwa baada ya miezi au miaka kadhaa ndugu huanza kwenda kufagia kaburi...
Back
Top Bottom