Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Mleta amani

Member
Dec 6, 2019
25
117
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.

Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa wanaume waliooa. Uzi wake huu hapa Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Kwanza, namtaarifu jamaa kuwa huyo mwanamke ni nyoka sana na ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo. Hata mimi kabla ya kumuoa, alijivika upole na unyenyekevu wa ajabu hadi nikaingia kingi na kumuoa, akaivua rasmi ngozi ya ukondoo kwangu.
Amemdanganya vitu vingi ili kupata sympathy, ikiwepo ya kuwa nilimuoa akiwa bikra kitu ambacho si cha kweli.

Pia, huyo mwanamke ana tabia mbaya ni kama hajafundwa, mara nyingi tu narudi kutoka kwenye mihangaiko yangu namkuta nyumbani yuko na shoga zake chumbani kwetu wanasukana. Nimeshaongea sana kuhusu hiyo tabia, lakini kwa kiburi chake hataki kubadilika na anaona ni kawaida.

Hilo ni dogo, nimewahi kumfungulia biashara mara tatu na kumpa mtaji wa pesa za kutosha kwa ajili ya hizo biashara (jumla ya zaidi ya milioni 20) , lakini mara zote tatu hizo biashara zimekufa kifo cha mende miguu juu. Na bado ananilaumu tu, hana misingi ya biashara na hataki kujifunza.

Kitu kingine, amekwambia pia kuwa niliwahi kupigiwa simu na mwanaume usiku nikiwa nae, na mimi nikaipokea, na huyo mwanaume akadai kuwa ni mchumba wake kwa miaka mitatu na yeye hajui kuwa ameolewa? Muulize vizuri, au amekuhadithia makosa yangu tu ila chanzo chake hajakwambia?

Amekwambia pia jinsi ambavyo ninampatia pesa za matumizi kila mwezi, hizo ambazo wewe unamsaidia kuzitumbua, au hajakwambia zinatoka wapi?

Kila mwezi nampatia laki nane za matumizi, na hiyo ni nje ya mahitaji ya nyumbani ambayo nayatimiza kwa kuhakikisha vitu vyote vipo ndani. Na analalamika kuwa hazitoshi, nahisi baada ya wewe kuwa unamsaidia ndo kabisa, kutwa ananilalamikia nimuongezee ila ukiuliza nilizokupa zimetumikaje, ni ugomvi.

Pia, muulize vizuri chanzo cha ugomvi wake na mama yangu, sitazungumza hapa, ila muulize atakwambia. Nimeona niweke kumbukumbu tu sawa, ili likija kukupata la kukupata watu wasishangae.

Bwana mdogo, kwa sababu nimeshakutambua, subiri tu upate malipo yako, na kitakachokukuta uje kuhadithia pia humu.

Asante.

Unaweza pia kusoma>> Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane
 
Story kama zile za wale wanaojiita walimu wa mahusiano insta.

Mchepuko anaandika text, mke anajibu, au mume anandika hili, mke lile, mchepuko lile.

Jamani huku sio FB, hizi chai zilizozidi majani ni chungu sana.
 
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.

Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa wanaume waliooa. Uzi wake huu hapa Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Kwanza, namtaarifu jamaa kuwa huyo mwanamke ni nyoka sana na ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo. Hata mimi kabla ya kumuoa, alijivika upole na unyenyekevu wa ajabu hadi nikaingia kingi na kumuoa, akaivua rasmi ngozi ya ukondoo kwangu.
Amemdanganya vitu vingi ili kupata sympathy, ikiwepo ya kuwa nilimuoa akiwa bikra kitu ambacho si cha kweli.

Pia, huyo mwanamke ana tabia mbaya ni kama hajafundwa, mara nyingi tu narudi kutoka kwenye mihangaiko yangu namkuta nyumbani yuko na shoga zake chumbani kwetu wanasukana. Nimeshaongea sana kuhusu hiyo tabia, lakini kwa kiburi chake hataki kubadilika na anaona ni kawaida.

Hilo ni dogo, nimewahi kumfungulia biashara mara tatu na kumpa mtaji wa pesa za kutosha kwa ajili ya hizo biashara (jumla ya zaidi ya milioni 20) , lakini mara zote tatu hizo biashara zimekufa kifo cha mende miguu juu. Na bado ananilaumu tu, hana misingi ya biashara na hataki kujifunza.

Kitu kingine, amekwambia pia kuwa niliwahi kupigiwa simu na mwanaume usiku nikiwa nae, na mimi nikaipokea, na huyo mwanaume akadai kuwa ni mchumba wake kwa miaka mitatu na yeye hajui kuwa ameolewa? Muulize vizuri, au amekuhadithia makosa yangu tu ila chanzo chake hajakwambia?

Amekwambia pia jinsi ambavyo ninampatia pesa za matumizi kila mwezi, hizo ambazo wewe unamsaidia kuzitumbua, au hajakwambia zinatoka wapi?

Kila mwezi nampatia laki nane za matumizi, na hiyo ni nje ya mahitaji ya nyumbani ambayo nayatimiza kwa kuhakikisha vitu vyote vipo ndani. Na analalamika kuwa hazitoshi, nahisi baada ya wewe kuwa unamsaidia ndo kabisa, kutwa ananilamikia nimuongezeez ila ukiuliza nilizokupa zimetumikaje, ni ugomvi.

Pia, muulize vizuri chanzo cha ugomvi wake na mama yangu, sitazungumza hapa, ila muulize atakwambia. Nimeona niweke kumbukumbu tu sawa, ili likija kukupata la kukupata watu wasishangae.

Bwana mdogo, kwa sababu nimeshakutambua, subiri tu upate malipo yako, na kitakachokukuta uje kuhadithia pia humu.

Asante.
Mbn JF imekuwa km FB sas
 
Kuna watu wanazuzuka na hadithi za wanawake wazinzi. Wanahdithia hadithi nzuri za kutia simanzi na jinsi wanavyoonewa kwenye mahusiano au kutotimidhiwa haja za kimwili!

Wanaingia mkenge na kuanza kulaumu wanaume wenzao kama huyu pimb*

Kwa kuwa unamjua mshikishe adabu. Kisha piga chini huyo kahaba.
 
Dah!Kwa hiyo kumbe mnafahamiana?Wanaume huwa hatufanyiani ubaya.Kutaneni mpate hata kahawa chungu ili mjipongeze kwa kumjua mbaya wenu.
 
Chai Zimekutana🤣🤣
Ila yote kwa yote Tujifunze Kutohukumu Kwa Kusikiliza Upande Mmoja Si Rahis Mtu Kujisema Makosa Yake Au Mazur Ya Mwenzake
2756823_JamiiForums-1851313687.gif
 
Utaenda jela, mkeo unamuacha uraiani ataendelea kuliwa.
Ukitoka unaanza upya kwasababu ya mwanamke uliyekutana ukubwani.
Hapo ongea na mke wako, na ili asifanye ujinga. Mke wa mtu hana alama na utagombana sana na wanaume wenzako kwasababu ya mwanamke.
Mimi siwezi kufanya huu ujinga wa kumdhuru mwanaume mwenzangu kwasababu ya mwanamke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom