kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  3. lui03152

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia GB WhatsApp soma hapa

    Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB. Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban watumiaji wa GB WHATSAPP kwa muda wa saa moja au zaidi, lakini bado watu wengi hawakuona umuhimu wa...
  4. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kutakuwa na operesheni maalumu ya kufuta makazi ya panyaroad

    RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao. Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala.
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaingia makubaliano kufuta deni la bilion 170 la Mbeya Cement

    Serikali imeingia makubaliano na wawekezaji wa kiwanda cha Mbeya Cement ya kuboresha na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa kiwanda hicho ikiwa ni Pamoja na kufutwa kwa Deni la Shilingi Billion 170 ili kukiwezesha kiwanda hicho kutengeneza Faida. Serikali inamiliki asilimia 35 ya hisa katika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI TAREHE 23/10/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala na bajaji Arusha wamng'oa Mwakalebela wa LATRA Arusha

    Migomo ya daladala na Bajaji a inayoendelea bila kupatiwa ufumbuzi katika jiji la Arusha,imetajwa kumg'oa aliyekuwa ofisa wa LATRA mkoa wa Arusha Amani Mwakalebela baada ya kushindwa kutatua migogoro hiyo na kusababisha usumbufu kwa wanchi ,wafanyabiashara na wanafunzi kukosa usafiri. Kuhusu...
  14. Mributz

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  15. Hot bird

    JamiiForums Tanzania Hongereni uongozi wa SUA kwa kufuta kozi za fizikia

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia. Wamefanya hivi baada ya kukosa wanataaluma wenye uwezo na weledi wa kufundisha kozi husika ijapokua...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Injinia Kundo Mathew amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu. Naibu Waziri Kundo ameyasema haya leo July 04, 2023 akiwa katika ziara...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2012, Yemen ilitangaza kuwa inavunja Mkataba na DP World kuendesha Bandari ya Aden

    Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden. "Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

    Kusema ukweli! Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu! Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria! Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa? Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

    Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete. Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Ndumbaro wajiuzulu kashfa ya kufuta madai ya Serikali Bilioni 19.7

    Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7. Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
Back
Top Bottom