kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Waziri Bashe atishia kufuta leseni za Viwanda vya Chai visivyolipa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza viwanda vya chai kulipa madeni ya wakulima vinginevyo atavifutia leseni. Amesema haiwezekani wakulima waliopeleka chai kwenye viwanda vyao tangu Agosti, 2022 bado hawajalipwa malipo yao jambo ambalo sio sahihi. Bashe amesema hayo jana Januari 18 wakati...
  2. Execute

    Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
  3. Z

    Hali ya uteuzi imekuwa kama abiria wa daladala! Kupanda, kushuka, na kusukumwa pembeni

    Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni. Tatizo ni uimara wa...
  4. Sozo_

    Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

    Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine. Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
  5. Mr sule

    Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Habari wangu. Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp. Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
  6. T

    Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  7. Roving Journalist

    Serikali kufuta vijiji vyote vilivyo ndani ya Mipaka ya Pori Tengefu Loliondo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine. Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa...
  8. MK254

    Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

    Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote. Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...
  9. Dr Msweden

    CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

    Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
  10. adriz

    Tangazo la Serikali kufuta ada kwa watahiniwa linachanganya

    Habari za mchana wana JF, Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi? #UziTayari
  11. Mkemia Fred James

    Zijue kanuni za dhahabu za kufuta ujinga(kusoma)

    1. Soma kwa uangalifu(Attention). Saa moja ya kusoma kwa umakini ni bora kuliko kusoma kwa saa nne kwa kukengeusha fikra nyingi. 2. Kaa mkao mzuri wa mwili.  Mkao wako huathiri jinsi unavyohisi. Mkao wa uvivu hautaongoza kwa akili yako kuzingatia unachokisoma. 3. Fafanua unachokisoma. Ikiwa...
  12. Roving Journalist

    RC Makalla, Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo

    RC MAKALLA: DSM IMEFANYA VIZURI MKATABA WA LISHE. - Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo. - Awaelekeza Wakurugenzi kuwawezesha Maafisa Lishe kutekeleza Majukumu yao na kutoa fedha kwa wakati. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla amewaelekeza...
  13. JanguKamaJangu

    Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' "Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015. 😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
  14. tutafikatu

    Serikali yazuia wanachama wa NHIF kwenda kuchukua dawa maduka ya nje kwa kufuta matumizi ya form 2c

    Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
  15. Nafaka

    Apple kufuta app ambazo hazitokuwa updated kwa miaka 3

    Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app. Kwa...
  16. B

    KWANINI HAIWEZEKANI KUFUTA AKAUNTI ZA BETTING

    Habari za jioni wadau. Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.
  17. BigTall

    Serikali yatangaza kufuta NGO 29 baada ya kuomba kwa hiari

    Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia Aprili 22, 2022 kama ifuatavyo; Source: Malunde
  18. Analogia Malenga

    UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  19. N

    Nifanye nini kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwa watoto wangu?

    Salaam wakuu Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia. Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
  20. Analogia Malenga

    Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote. Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne. Akizungumzia...
Back
Top Bottom