Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,726
2,082
Salama humu.

Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read'

Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete.

Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao wanafanya biashara kuna watu wanawapata KWA hizi msg zao sàsa si wengine ndo ivo hatuna muda nazo.

Kuna msg zingine za waganga kutoka sumbawanga ukitaka utajiri na bahati ya maisha,kuna nyingine za shinda gari na pesa za bure..Sasa hizi na nyingine kila mtu ana interest zake.Sasa kama kuna simu nzuri ya kuzipiga hizi msg juu KWA juu bila kuingia inbox.
 
Mfano ipi sheikh!
We kama huchezi michezo ya bahati nasibu sms ya MKEKABET ina umuhimu gn?
Namaanisha zle sms ambazo zinatumwa mara Kwa mara na hazina tija
 
Baadhi ya simu huwa zina feature ya ku block maneno unacho kifanya una block maneno ambayo ni common kwenye sms zao. Mfano simu za kampuni ya Xiaomi (iwe na pure MIUI) angalia picha
IMG_20230506_000141.jpg
IMG_20230506_000205.jpg

Kiukweli hizi text zina kera sana
 
Back
Top Bottom