kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  2. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kufuta kidomo domo cha kina Lissu, nashauri Tume ya Uchaguzi ihesabu kura zote kwa njia ya uwazi

    Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema. Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi. Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni...
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitatumia elimu yangu kukuza uchumi na kufuta umasikini katika nyanja zote

    BUSEGA- SIMIYU Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/ au zaidi kwa mwezi) imeongezeka toka watu milioni 12.3 mwaka 2011 na kufikia watu milioni...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sixty Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa

    Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, amevitaka vyama hivyo amesema kuwa Ofisi yake haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa ila ana uwezo wa kukisimamisha usajili hivyo kuzuia kampeni zake. Chanzo: Radio one stereo
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ADC, Queen Sendiga aahidi kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na wafanyabiashara Amewaahidi wafanyabiashara hao kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko kwa wafanyabiashara...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 UMD yaahidi kufuta Kodi ya Majengo na Vitambulisho vya Taifa

    Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa. Alisema hayo juzi wakati wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya kufuta sheria zinazonyima watu dhamana Ni turufu kwa CHADEMA

    Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM ikitaka ikufilisi inakupeleka mahakaman kwa makosa yakusadikika na hatma yake unaozea jela bila kesi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

    Kichwa cha habari chahusika. Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu. Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati. Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa. Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari. In short...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

    JE, WAKATI UMEFIKA WA MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY-SCHOOL NA GWAJIMA? Na, Robert Heriel Miaka mitano nyuma, naam mwaka 2015 Gwajima alionyesha dhamira yake na ndoto yake kubwa ambayo alitanabaisha kuwa anatamani Misikiti kuwa Sunday- School za watoto wa Kikristo, pamoja na masheikh na maimamu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye baada ya kuona siyo rahisi kuondoa rushwa kwenye uchaguzi ndani ya CCM aliipa jina jipya na zuri la Takrima. Watu wakapiga sana kelele lakini ndio hivyo hadi leo huwezi kushinda uchaguzi CCM bila kutoa takrima. Mgombea...
  11. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Kuvunja kwa sanamu za waliotenda ukatili zidi ya watu weusi kuna saidia kufuta machungu au kujifunza?

    Baada ya kifo cha George Foyd nchini Marekani kumezua maandamo katika majimbo mbali nchini Marekani. Huku maelfu kwa maelfu wakiandamana kupinga vitendo hivyo nchini Marekani. Mwitikio kufuatia tukio Hilo nchi mbali za ulaya zikiwa zimeguswa na hatimae kuanza maandamo na zenyewe. Maandamo...
  12. LONDON IS BLUE

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kufuta mfumo wa vyama vingi unagharimu kiasi gani?

    Tanzania ukiwa mwanasiasa wa chama cha upinzani unajeuka kuwa adui wa chama tawala na dola. Wapinzani wananyanyasika, wanatekwa, wanafunguliwa kesi nzito nzito, wanafungwa jela na wengine kupoteza maisha. Ni budget ya shilingi ngapi/au ni utaratibu gani unahitajika kufuta mfumo wa vyama vingi...
  13. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

    Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
  14. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kufuta malipo ya umeme na maji kuwapa unafuu wananchi

    Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

    Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe...
  16. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Utaratibu ukoje wa kufuta alama za vidole na kuondoa taarifa nilizotumia kusajili laini?

    Wakuu, Baada ya kuchoshwa na usumbufu wa laini moja ya mtandao (kwa sasa sitaji jina la kampuni husika na laini hiyo), ambayo nimeisajili kwa taratibu rasmi zilizoelekezwa na TCRA; ninafikiria kwenda kuondoa/kufuta taarifa zangu nilizotumia kusajili laini hiyo kwenye kampuni mtandao husika...
Back
Top Bottom