Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa.
Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Au Kila mtu ajihudumie mwenyewe?!!! Na vipi kitmabaa, kila mmoja na chake au kimoja hiccho hicho?!!! Tupieni maujuzi kwa mustakabali mwema wa taifa letu wadau.
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Vyuo vingi nchini viliyo chini ya NACTEVET haswa hivi binafsi havitaki kutoa haki ya mtu kufuta usajili na kujiunga na chuo kingine.
Serikali iingilie kati hili suala, watu wanakaa mtaani kwa kushindwa kuomba pengine kwa sababu wamekuwa admitted kwenye chuo kingine
Anonymous
Thread
kati
kufuta
kuomba
mwanafunzi
usajili
vyuo
vyuo vya kati
Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
JF
Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA.
CCM mnatupeleka wapi.?
https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U
Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s Party for Reconstruction and Democracy), kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila.
Chama cha...
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Kipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa
Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata mbadala wake na utabaki kuwa wa viongozi na wanasiasa
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu
Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi hayo yametolewa na Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu, Arusha katika kesi ya Ladislaus Chalula dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.