Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,820
59,407
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.

Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!

Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!!😊 Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team💪🏾💪🏾 I honestly couldn't ask for better kids. 😇

Happiest birthday to my little dude 🥳🥳
20211008_235209.jpg
20211008_234945.jpg


Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.🤷🏾‍♀️🤷🏾‍♀️
 
Kwani nani alikuambia kwamba kuzaa ni kosa..!!🤔
Nafikiri unapaswa kusema asante Mungu, kwani hauwezi kufaham kwamba umemzaa na atakua nani.
Anyway.....
Mzee wangu alipenda sana kunieleza kwamba (aliyezaa hatukanwi) usimtukane aliyezaa
 
Kwani nani alikuambia kwamba kuzaa ni kosa..!!🤔
Nafikiri unapaswa kusema asantebMungu, kwani hauwezi kufaham kwamba umemzaa na atakua nani.
Anyway.....
Mzee wangu alipenda sana kunieleza kwamba (aliyezaa hatukanwi) usimtukane aliyezaa

Ushimen punguza ukali baba....kuzaa sio kosa kabisa in my opinion. Hiyo ilikuwa reference tu ya mada inayohusiana na wale ambao hujiachia alafu baadae wanaanza kudai "mimba imetokea bahati mbaya" kisha ku-opt kutoa n.k

PS.
Natamani kuelewa kwanini mzee wako alikuwa akipenda kusema hivyo 🙂
 
Congratulations 👏🏾 Lizzy Mimi naomba tu uondoe hiyo mask kisha unitumie hiyo picha pm. You made the right decision and now you are very proud of your decision despite all the difficulties that you went through. I am very proud of your decision too.
😍🔥😍
 
Back
Top Bottom