kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Wandugu habari za siku, Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.
  2. GENTAMYCINE

    Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  3. Melki Wamatukio

    Faida za kufanya mapenzi na mwenza wako kabla ya ndoa

    Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali. Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe...
  4. Mganguzi

    Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  5. system hacker

    Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  6. Dr Msaka Habari

    Wafanyabiashara wa Ferri, Kigamboni marufuku kufanya biashara pembezoni mwa barabara

    Na. Jonathan Kalunga Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao. Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
  7. F

    DC wa Iramba, Joshua Nasari(dogo janja) ahamishiwa Monduli na DC Selemani Mwenda wa Monduli arudishwa tena Iramba

    Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi. Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani...
  8. M

    Hayati Magufuli ni Thomas Sankara wa Tanzania. Atakumbukwa kwa kufanya makubwa ndani ya muda mfupi

    Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake. Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya...
  9. Minja Ngalason

    Hataki tufanye Sex zaidi ya kuromance mpaka nimuoe licha ya kudumu naye kwa Miaka minne

    Wakuu habarini za Jioni niko na Kademu bado ni ka bikra ka Chuo tatizo lililopo ni moja tumedumu zaidi ya miaka mitatu bila kuchakata mbususu though nishakavua nguo nikajaribu kutaka kuingiza mkunguyenge akagoma kabisa. Suala lililonifanaya nianzishe hii mada ni kwamba Huyu mtoto kuna mambo...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Hii ni Kwa wale mnaoona wenzenu Hawana kazi za kufanya!

    HII NI KWA WALE MNAOONA WENZENU HAWANA KAZI ZA KUFANYA! Anaandika, Robert Heriel Wakati nasoma, Sisi wengine tulikuwa kundi la wale vijamaa ambavyo huwezi kutuona tumeshika Daftari wala begi la shule. Kutandikwa kisa hatujaandika Notes ilikuwa ni kitu cha kawaida Sana,. Kelele mwanzo mwisho...
  11. DR HAYA LAND

    Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

    Ushauri . Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa . Jamaa yangu kashanasa tiyari.
  12. S

    Wanaume acheni kufanya uzembe kama huu. Hivi mnajielewa kweli??

    Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa. Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
  13. kekule benzene

    Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  14. Infinite_Kiumeni

    Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa. . Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
  15. Zombie S2KIZZY

    Nisaidieni jinsi ya kufanya marketing

    .
  16. VMWare-Oracle

    Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

    Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops. Sehemu iwe yoyote...
  17. Mamujay

    Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  18. J

    Jambo la kufanya kwa siku ya leo ya wapendanao

    Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao wakina mama. Jioni mumewe aliporudi nyumbani yule mama akatekeleza assignment kwa kumuomba mumewe...
  19. Chillah

    Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  20. Barackachess

    Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
Back
Top Bottom