Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

RAINAI

New Member
May 13, 2023
1
4
Habari wana JF!

Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa.

Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo.
UMRI: Miaka 18-26
ELIMU: Kuanzia kidato cha nne
DINI: Mkristo.
Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa nyumbani.

SIFA ZANGU
Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kipato cha chini, Umri miaka 31, naishi Dsm, elimu kidato cha sita, mrefu, mweupe wastani, najishughulisha na biashara ndogo ndogo, dini ni mkristo.
Aliye serious karibu PM.

Asanteni.
 
Ingekua mimi ndio wewe, bila kupepesa macho ningetumia ID yangu inayo julikana.
Na, wadada wengi hapa wanahitaji wenza, ila kwasasa hofu imetamalaki lwasababu ya hizi ID mpya kwani zinawawia ugumu kumjua muhitaji hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom