Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,252
11,409
Mh Rais Samia Shikamoo.

Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara.

Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mingi inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa langu. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiyadharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa au usiku wa manane.. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika.

Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa na hukutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo. Naikikupendeza watumie majasusi wetu kupata ukweli wakile kinaendelea kama nimapicha ama nikitugani sisi tulioko nje hatuoni dalili nzuri.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama nionavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara. Mbaya kuliko yote nikukosa nguvu yakufanyia manunuzi ya nje ambapo deni letu ktk USD litakiwa likikwangua ukwasi wa fx ktk hazina yetu. Jambo hili litaleta hatari kubwa kwasababu kama huna mavuno yakutosha maana yake huna chakula jambo litakufanya nunua chakula nje. Kumbuka BOP yetu is not balance means exp is low over importation which is high.

Mh Rais ipo siku utapokea wajumbe, wajumbe hawa hawatokuwa watu wakawaida na watakuja nyakati either ya asubuh au mchana kwenye kati ya mwaka 2024 mwisho au 2025. Mh heshimiwa haya ni maono yangu na sitaki kuamini kama nikweli itatokea ama laa. Ila ushauri wangu yasikilize maneno yao ukamuombe Mungu akusaidie kutegua kitendawili amabcho ktk hali ya kibinadam kitakuwa kigumu sana ila kitakuwa na fumbo la hatima ya Tanzania yetu. Usisahau kusema Asante kwa Mungu maana ndie sababu ya kuwepo kwetu sisi wanadam.

Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
 
Mh Rais Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihurisha Vyombo vyetu vya ulinzi na katiba yetu vipo imara.
Mh Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mia inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiidharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika. Mh Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Mh Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa nakutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Mh Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama niomavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara.
Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
Appreciation mkuu.
 
Mh Rais Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihurisha Vyombo vyetu vya ulinzi na katiba yetu vipo imara.
Mh Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mia inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiidharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika. Mh Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Mh Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa nakutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Mh Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama niomavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara.
Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
Mwerevu hakatai ushauri....

Kuna jambo umegusia "kurusha vijembe kwa awamu ya 5"....

Mh.SSH ni mwanasiasa....na Siasa ina mawanda yake......

Yeye ni zao la awamu ya 5....kama ilivyo wa awamu ya 5 kutoka zao la awamu ya 4....ikiwa wa awamu ya 5 alirusha vijembe kwa baadhi ya awamu ya 4 unataka iwe ajabu kwa mh.SSH kuyafanya hayo?!!!

Kwanini tunakuwa "obsessed" na kurushiwa vijembe kwa awamu ya
5?!!!

Hofu yako ni nini ?!!!!

Hofu yako iko wapi ?!!!

Hivi mh.SSH akiirushia vijembe awamu ya 5....vijembe hivyo havimfikii yeye binafsi kama vilipokuwa vinamfikia hayati Magufuli alipokuwa anairushia vijembe awamu ya 4....

Kwa MUKTADHA huo ,basi hii hofu yako inakuwa si hoja "constructive" bali umepwagaza hisia zako tu"personal psychological conflicts"

#SiempreJMT
 
Ukitaka upande chati na uonekane wa maana tukana serikali ya awamu ya tano.Majibu ya huu upuuzi yatatoka in less than 3 yrs I think na hukutakuwa tena na huu upuuzi.
Mpiga ramli umejipeleka msambweni....

Hivi umezaliwa 2023?!!!

Kama sivyo....

Hukuviona vijembe vya awamu ya 5 kwa awamu ya 4?!!!

Hukuvisikia vijembe vya awamu ya 4 kwa ya 3?!!!

Wakubwa wetu hawakutuhadithia vijembe vya baba wa taifa kwa awamu ya 2?!!!

Kwa mawanda haya....hoja yako inakuwa ni hofu tu,hisia tu ,mapenzi tu kubwa zaidi "OBSESSIONS" zako unazotaka kuziwamba UHALISIA kinyume kabisa na ukweli....

Siasa hazikuanza jana....

Baba wa taifa aliwapiga vijembe akina Oscar Kambona sembuse hizo "obssessions" zako ?!!!

#SiempreJMT
 
Mkuu, unazo nondo zisizo mithilika.

Nimesoma mstari kwa mstari nikitarajia code mpya nzuri kama ya 20/05/2020 ila wapi!

Umeamua kuongea na sanamu.
Do bi tozo ni kama sanamu umetisha kwa kweli lakini ndo ukweli wanasema Kenge asikii mpaka damu itoke
 
Mwerevu hakatai ushauri....

Kuna jambo umegusia "kurusha vijembe kwa awamu ya 5"....

Mh.SSH ni mwanasiasa....na Siasa ina mawanda yake......

Yeye ni zao la awamu ya 5....kama ilivyo wa awamu ya 5 kutoka zao la awamu ya 4....ikiwa wa awamu ya 5 alirusha vijembe kwa baadhi ya awamu ya 4 unataka iwe ajabu kwa mh.SSH kuyafanya hayo?!!!

Kwanini tunakuwa "obsessed" na kurushiwa vijembe kwa awamu ya
5?!!!

Hofu yako ni nini ?!!!!

Hofu yako iko wapi ?!!!

Hivi mh.SSH akiirushia vijembe awamu ya 5....vijembe hivyo havimfikii yeye binafsi kama vilipokuwa vinamfikia hayati Magufuli alipokuwa anairushia vijembe awamu ya 4....

Kwa MUKTADHA huo ,basi hii hofu yako inakuwa si hoja "constructive" bali umepwagaza hisia zako tu"personal psychological conflicts"

#SiempreJMT
Awamu ya 4 na 6 ni sawa tu .aikuwahi kuona nchi ikiwa inaongozo hovyo kama awamu 4 na 6
 
Andika vizuri mkuu....nchi haikuwahi kuona ama wewe hukuwahi kuona?!!!

Ikiwa ni wewe je uoni wako ndio uoni wa kila mmoja wetu?!!! Kama sivyo huo uoni uusemao umeupima kwa vigezo gani jadidi?!!!!
 
Rais Samia Shikamoo.

Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihurisha Vyombo vyetu vya ulinzi na katiba yetu vipo imara.

Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mia inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiidharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika.

Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa nakutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama niomavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara.

Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
Umeandika upuuzi kama ilivyo kawaida yako.
 
Nrudia na wek hili kichwani mwako,huna Rais wa Nchi hii aliwahi leta Mageuzi makubwa kwenye Uchumi na Jamii kama Rais Samia..

Tukutane 2025.
 
Back
Top Bottom