Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 48
- 29
Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates.
Ama kwa upande wa school candidates wao yale majaribio na mitihani ya kipindi chote cha masomo huwa yanawabeba kwenye mtihani wa mwisho.
Je, kuna ukweli wowote juu ya hili? Msaada went great thinkers.