Je, inawezekana kufanya mtihani wa Biology A level kama private candidate ili kupata credit ya kusomea medicine?

Surveyor_1

Member
Jan 2, 2022
48
29
Habari wana JF, natumai muwazima.

Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.

Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa ajili ya madomo ya udaktari)
 
Habari wana JF,natumai muwazima.

Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.

Swali ni kuwa,kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa ajili ya madomo ya udaktari)
Possible kabisa hiyo.
 
Habari wana JF, natumai muwazima.

Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.

Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa ajili ya madomo ya udaktari)
inawezekana kwa 100%
 
Back
Top Bottom