kuendesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa. Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla. Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  5. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuendesha hizi gari tano, KAJITAFUTE!

    1. Suzuki Carry Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama engine ya piki piki ya mashindano iliyofungwa kwenye gari. 2. Mitsubishi Pajero Mini Ukishasikia gari...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuna chama kinatumia wajinga kuendesha wasomi

    Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

    Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010. Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo! Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1...
  10. CCSN

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

    Habari wana Jamii, Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona watawala wanafanya makusudi kutosimamia mradi wa Mwendokasi ili wapate sababu za kuendeshwa na wageni

    Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo tumekopa kujenga miundombinu na kununua magari ya mwendo kasi tulitegemea wazawa wangeachwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la kuendesha vitega uchumi na rasilimali zetu, Watanzania tuache kujidharau

    Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja. Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata. Mosi: nadhani kama kuna watu wa kubeba lawama ni wale waliyopewa dhamana ya kuongoza serikali kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuendesha nchi tukashindwa kuendesha bandari?

    Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari? Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri bungeni kwamba yeye na watendaji wameshindwa kuendesha bandari na bado anaendelea kubaki ofisini...
  17. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    "....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa! "....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

    Habari JF, Hivi Watanzania tunashindwa kuendesha kitu ambacho hakituhitaji tuweke mtaji tutengeneze au tuuze vitu kisha tufanye hesabu ya faida tuliyopata, tutaweza kufanya kipi? Unahitaji nguvu, tunayo ya kutosha. Unahitaji Vifaa na mitambo/mashine, uwezo wa kununua tunao. Unahitaji uweke...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
Back
Top Bottom