Bandari ya Fujairah na DP World ambaye ni mmoja wa waendeshaji wakuu wa bandari duniani, walikubaliana na kusitisha Mkataba wa Uendeshaji uliosainiwa mwaka 2005 kwa lengo la kujenga, kuendesha na kuhamisha (BOT) kupanua na kuendeleza Kituo cha Kontena cha Fujairah bandarini kwa ajili ya kubeba...
Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden.
"Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani.
Soko la biashara ya mtandaoni la China...
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA
Sifa za Kijana ninae Mtaka :
Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao...
Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar
Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho...
Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria?
Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti.
Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam.
Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
Ndugu zangu katika kupambana na maisha kijana mwenzenu hatimaye nimepata IST na nimekamilisha taratibu zote za kuanza kufanya kazi ya Uber na Bolt. Gari ni yangu japo si mpya sana ila bado nzima kabisa nimefunga na AC.
Sasa kwa kuwa ndio naanza najua kuna mengi natakiwa kujifunza. Ningeomba...
Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM.
Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
Habari wana jf
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya
Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali
Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma.
Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
1.0 Waungwana Habari zenu!!
Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira.
Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine
Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda.
Hivi Karibuni nikiwa...
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.
Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo;
Database
1. Database cleanup
2. Database optimisation
3. Database...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.