kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi, Mbinu zipi hutumika kuiba kura?

    Salaam, Shalom! Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura. Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Hatima ya Pacome, Aucho na Yao kuelekea mechi ya Mamelodi Sundowns

    Taarifa Rasmi kuhusu Khalid Aucho ni kwamba kuanzia kesho ataanza mazoezi mepesi. Taarifa hii inaashiria kuwa Mchezaji huyo , Kiungo wa kati wa Dar Young Africans (YANGA) , Atakuwa sehemu ya Kikosi cha Yanga kwenye Mechi yao Ya Robo fainali Club bingwa Africa. Aidhaa......... PACÖME NA YAO...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

    KISASI NI HAKI🔰 Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe. Matokeo yalikua 3-3 uwanja...
  4. JamiiForums Tanzania Basi la Tahmeed kutoka Busia kelekea Mombasa ladaiwa kugongana uso kwa uso na lori la mafuta. Wawili wafariki huku watano wakikimbizwa hospitali

    Tahmeed Bus kutoka Busia kuelekea Mombasa imegongana uso kwa uso na Lori la mafuta karibia na High School ya Mundika. Inasemekana kuna vifo na marejuhi baada ya Basi kulipuka. --- Two people dead, 5 hospitalised after fuel tanker collides with bus in Busia Two people have died as five others...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi Young Africa vs CR Belouizdad

    Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli. Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

    Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu: Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii: Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi ya mnyama Simba

    Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu. Lakini Mimosa hawajawahi kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumbani, so ni ngumu sana...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Daraja la Boko Magengeni kuelekea Bulumawe lipo hatarini kubomoka

    Mamlaka husika waje walitazame usalama wa daraja dogo linalounganisha mawasiliano kutoka Boko Magengeni na Bulumawe linalopatika Kata ya Bunju ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha week 3 zilizopita. Mvua hiyo imesababisha ukingo unaolinda daraja hilo kubombolewa na...
  10. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  11. JamiiForums Tanzania JF Ladies kuelekea #VALENTINE2024 ❤️

    Hello ladies!! Niseme ukweli, mimi sio mtu wakutilia sana maanani sikukuu(s) zaidi ya birthdays. Kwahiyo sikumbuki kusherehekea Valentine na mtoto wa mtu, ila zawadi ambayo nimewahi kumpa mkaka akafurahia sana was a surprise 4-day gateway. Anyway, leo tujikite kwenye kutoa zaidi ya kupokea...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

    Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko..... --- Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  14. JamiiForums Tanzania Hadhari: Baadhi ya Barabara Morogoro zimefurika maji

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimezidi kuleta athari kubwa kwa wananchi, uchumi na miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua mikoa ya Morogoro Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe nk, hivyo kama raia wema ni vyema kupeana taarifa barabara korofi ambazo zimekumbwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 113 kujenga KM 50 Barabara ya zege kuelekea Liganga na Mchuchuma

    Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Hali ya Barabara ya Mbezi Juu Makonde kuelekea Baraza la Taifa la Mitihani ni masikitiko makubwa

    Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii barabara na hata kuiwekea lami ukizingatia inaelekea kwenye moja ya Taasisi zake kubwa kabisa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

    Salaam, Shalom!! Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake. KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea day 100 Gaza, Marekani kukabiliwa na Migomo serikalini

    1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo. 2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba! 3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza. 4. Mahsusi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Uganda yamkamata Waziri wa Zamani wa Kenya akitaka Kusafirisha Dhahabu ya Mamilioni Kuelekea Dubai

    Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…