kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Lithuania mwanachama wa EU aruhusu bidhaa za Urusi kupita kwenye ardhi yake kuelekea Kalinigrad

    European Union member Lithuania will allow sanctioned Russian goods to transit its territory on their way to Russia's Kaliningrad exclave, its Foreign Ministry said on Wednesday, reversing its policy after new European Commission guidelines. The new guidelines on Wednesday followed weeks of...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

    Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo makubwa . Mabingwa Kama Cr7, Noel, dogo Sisco, Gaidi, Dogo Ally, dogo Yassin, Saiya, Omary Kiwende...
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mtufungulie ile barabara ya Feri kuelekea Ocean Road Hospital

    Wasaalam wanabodi, Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu. Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote. Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Saido na Ambundo watimuliwa kambini yanga

    Saido na Ambudo wametimuliwa kambini baada ya kutoroka mazoezini na kwenda disco baada ya mchezo wa Biashara dhid ya Yanga ulioisha 1-1. Hivyo hao wachezaji hawatakuwa sehemu ya kikosi jumamosi === SIKU mbili kabla ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba na...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa dirisha la EPL leo jumapili

    Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa. Liverpool...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuelekea Mei Mosi: Usipandishe mishahara kwa wafanyakazi, bali punguza Kodi/PAYE

    Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hapa nchini wawe wa sekta binafsi ama wale wa serikalini. Ushauri wangu kwa mama kuelekea mei mosi...
  13. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  14. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM; Je, wajumbe wa Mkutano huo ni akina nani? Tuwajue hapa...

    Na Bwanku M Bwanku. Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre ambao pamoja na mambo mengine utafanya marekebisho ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
Back
Top Bottom