kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

    Habarini wa Kuu, Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu. Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali. Wakati nikiwa nasoma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa. Ushauri...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara kuchukua video kwenye maharusi

    Naomba kuuliza ile camera inayotumika kuchukua vidio mbalimbali kwenye events kama maharusi,misiba, etc inauzwa sh ngapi pamoja na stand yake na je inalipa?
  3. JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

    Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa : Baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa za mafuta supertankers zaelekea marekani kuchukua mafuta

    Mzuka wanajamvi, Baada ya Opec ikiongozwa na kushinikizwa na Russia na Saudi Arabia kupunguza uzalishaji wa mafuta ili bei ipande. Upepo umebadilika. Sasa hivi Marekani wameamua kuachia mafuta yao kuyauza kwa wingi kwenye soko la dunia. Meli kubwa za mafuta 48 supertankers ziko njiani baharini...
  6. T

    JamiiForums Tanzania DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

    Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri. Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo wa kupeleka maabara?

    Heshima zenu wakuu! Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu. Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili nijue afya yake. Ni jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo? Je, nichukue wa juu kabisa au wa ndani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Gumzo: Makatibu CCM Singida Wasafirishwa na Mfanyabiashara kwenda Arusha kuandaa Mazingira ya Kuchukua Jimbo 2025

    Huko Mkoani Singida Makatibu wa CCM kata wilaya ya Mkalama inasemekana walisafirishwa na mfanya biashara ajulikanae kwa jina la Baraka Kwenda jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni moja ya ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ndani ya CCM pia ni ajabu kwa Uongozi wa CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kujichukua sheria mkononi

    Wakuu Salaam? Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi. Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

    Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha. Wadau nipo...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzee Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri, Abdalla Natepe alimzuia kuchukua mali zake kwenye makazi ya Waziri

    Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi kwao Zanzibar ili yeye aweze kuishi hapo kama Waziri. Ilikuwa shida kidogo maana Mzee Mwinyi bado...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…