Leo ndo siku ya watu kuchukua UTI sugu na mimba zisizotarajiwa sababu ya ngono zembe

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia

Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa

Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza makali ya virusi vya HIV na huwezi kuwatambua kwa macho

Ukishindwa kabisa kuchukua malaya basi tumia kinga na wakati unaingia kwenye nyumba ya wageni na huyo mwenzi wako hakikisha haujalewa kiasi cha kutojitambua.

Linda afya yako mana afya ikiyumba kila kitu kinayumba

Ni ushauri tu, kuuchukua ama kuupuuza ni juu yako.
 
Back
Top Bottom