kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini Rais kaelekeza viongozi waandamizi kupitia upya hoja za CAG na kuzijibu, ikiwemo kuchukua hatua

    Hatua za ukusanyaji taarifa, uchakataji, uandaaji na uwasilishaji wa ripoti ya CAG NI hizi zifuatazo; 1. CAG kila mwaka wa Fedha kupitia mpango kazi wake ufanya ukaguzi WA kawaida na ukaguzi maalumu katika taasisi za umma pamoja na mashirika ya umma. 2. Katika ukaguzi wa kawaida na hata...
  4. R

    JamiiForums Tanzania NI sahihi Makatibu Wakuu wa sekta zilizovurunda kupewa tena nafasi kurekebisha makosa na kuchukua hatua watendaji waliopo chini yao?

    Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu. Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu tena hoja; NI approach nzuri hasa Kwa wanaoamini kama Mimi kwamba report ya CAG imejaa Sana hoja za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
  7. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  8. John Gregory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WanaYanga karibuni tumpigie kura chezaji la kimataifa Kahraba kuchukua player of the week CAFCL

    Link hii hapa, MAHMOUD KAHRABA VOTE Bonyeza hapo kwa Kahraba.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanganyika stars baada ya kuchukua kombe la challenge

    Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha. ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu. PICHANI Sylversaid Marehemu REGINALD...
  12. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Laana ni kuchukua TZS Bilioni 3 ili mfanye siasa

    Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...
  14. Thread

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Biotechnology anaweza kuchukua masters zipi?

    Habari, jqmani mtu aliyesoma degree ya biotechnology anaweza kusoma masters zipi akiamua kuendelea?
  15. xxtycoon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  16. JF Member

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

    CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo. 1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. 2. Katibu mkuu awe Heche. 3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa). 4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita. 5. Muwape...
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Messi anaenda kuchukua Balon d'Or ya nane, ndiye mchezaji pekee wa kumrithi Pele

    Yes, perfect timing for Messi kuchukua Kombe la Dunia, hili kombe lina uzito kuliko UEFA Champions na ndio maana ni mara moja tu kila baada ya miaka minne, hakika Messi anaenda kuizoa Ballon d'Or. Kwa hakika messi anaenda kujiweka level sawa na za kina Pele kule juu kabisa. Huku chini wapo...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni iliyochoma Vifaranga 50,000

    Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
Back
Top Bottom