Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa.

Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
 
Si anakuwa kachelewa kupata stress

Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.

Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.

Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo

Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.

All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .

Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
 
Huyu mie kabisa yaani wikend ni muda wkuopoa totoz za chuo unapiga threesome yako matata mpaka next wikend tena
 
Haya maswala ya umri hayana mantiki! wengi wetu kinatuweka hadi kufkia umri mkubwa ni hali halisi ya kipato! sasa mfano umemaliza madegree yako halafu umejikuta upo kwenye awamu ya tano ya wasomi tuwe wajasiriamali!:D unakuja kushtuka bdo upo home unatumwa vitafunwa asubuhi! then uambiwe tuu uowe kisa age go;) mtaelewana kweli wandugu?
 
Back
Top Bottom