kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 367
- 679
Habarini wakuu,
Ipo hivi, huwa najiuliza sana kwamba ni bora kuelezea hisia zako mapema baada ya mazoea ya muda mfupi au kusubiri subiri kwa muda .
Kwa sababu naona unaweza ukawahi ukaonekana muhuni muongo muongo au ukachelewa tunda likawaiwa na wengine.
Wakuu nyie mnaona kipi ni bora hapo kati ya kuwahisha mtongozo au kuuchelewesha?