kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  4. JamiiForums Tanzania Inadaiwa polisi walikuwa wanazuia Ole Shangay kusimikwa kuwa Laingwanan, kuna kitu gani kimefanya wazuie?

    Haijafahamika sababu hasa za Jeshi la Polisi kufanya jitihada kabambe za kuingilia mila za wamasai ili kuzuia Ole Shangay kusimikwa na kupewa Ulaigwanan (mwenye kujua atufahamishe) Hata hivyo zoezi hilo limefanyika baada ya nguvu ya umma kushinda
  5. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
  6. JamiiForums Tanzania Kama Crown FM imezinduliwa bila kuwa hewani, litakuwa ni kosa kubwa la kibiashara

    Imagine watu wanataka kupata radha, ubunifu na vipindi tofauti. Uzinduzi umefanyika halafu kitu kisipatikane. Kwanza niseme nimetune channel hiyo zaidi ya mara sita ila sisikii kitu, kwenye kurasa za Crown FM sioni content, Inaonekana kama ilizundiliwa kuwaweka watu tayari wakati wenyewe wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

    Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Ijue hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania

    Hifadhi ya Taifa Nyerere ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania. Ilianzishwa kutoka kwenye pori la akiba la Selous na kupewa jina ilo mnamo mwaka 2019 kwa heshima ya aliyekuwa mwanzilishi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,000. Ni hifadhi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  10. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kununua kitu baadaye ukagundua umeuziwa bei kubwa?

    Kuna wakati huwa inauma sana, baada ya kununua kitu halafu ukirudi mtaani mtu akikuuliza bei uliyonunulia ukamtajia halafu akakwambia mbona umeuziwa bei kubwa hivo na wakati zinauzwa tu bei rahisi. Nimewahi kutana na mambo Kama haya kwa nyakati tofauti. Nimewahi uziwa begi Kariakoo 40 baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  12. JamiiForums Tanzania Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

    UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi. Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  18. JamiiForums Tanzania Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  20. JamiiForums Tanzania Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee. Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…