Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

Mr mutuu

JF-Expert Member
Jan 27, 2023
2,041
10,102
Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon)

Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee tu tusikutane na mamelodi robo fainali(maana Al ahly hatuwezi kutana nae tupo kundi Moja)

Simba hata akifuzu tukikutana nae tutambonda tu ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom