Ijue hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania

Funa the Great

Senior Member
Aug 1, 2022
160
271
Hifadhi ya Taifa Nyerere ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania. Ilianzishwa kutoka kwenye pori la akiba la Selous na kupewa jina ilo mnamo mwaka 2019 kwa heshima ya aliyekuwa mwanzilishi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,000.

images (12)_1710228229399.jpeg

Ni hifadhi ilivyobarikiwa kuwa mandhari hadhimu yenye ushawishi na kuvutia machoni pa mtalii, pia ina idadi kubwa ya wanyama ikiwemo Tembo, Simba, Mbwa mwitu, Nyati na wengineo.

images (15)_1710228229429.jpeg

selous2011-159.jpg

Ndani ya hifadhi umekatiza mto mkubwa unaofahamika kwa jina la Rufiji unaotiririsha maji yake ndani ya bahari ya hindi. Ni mto wenye mandhari tulivu na kuvutia sana hutumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kiutalii hususani utalii wa njia ya boat.

aerial-views-of-river-rufiji.jpg

images (3)_1710228229308.jpeg
Shughuli unazoweza kuzifanya ndani ya hifadhi hii ni pamoja na kufanya utalii wa boat, Utalii wa kutembea kwa miguu, utalii wa kutumia gari na kupiga picha mbalimbali za kumbukumbu.

Ni eneo lenye kusisimua litakalokuacha na kumbukizi zisizofutika kwa kichwa chako.

selous-serena-camp-pool.jpg

Njoo tutalii pamoja ujionee miujiza ya uumbaji wa mwenyezi Mungu.

Karibu ushiriki nasi kwenye safari ya kutembelea mji wa Bagamoyo kwa gharama ya Tsh 65,000/= safari yetu itaanzia Mlimani City_Dar es Salaam.

Itakuwa ni tarehe 01/04/2024

Mawasiliano +255622174613
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom