kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RPC simiyu kuwa makini

    Katika mkoa wa simiyu Kuna tabia ya polisi kuwakamata BODABODA na kuomba rushwa ili wawaachie. Sababu za ukamataji huo zimejificha kwenye makosa makuu mawili. 1. Leseni 2. Bima Pamoja na kuwa BODABODA hao wengi wao hawana vitu hivyo vya muhimu kisheria lakini pia jeshi la polisi haliwasaidii...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa kubwa, tusiyumbishwe

    Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani. Jasusi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020 FULL TEXT: Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama ilivyokuwa imetegemewa Kenya tayari wameshakata pumzi. Kinachosubiriwa sasa ni tamko rasmi tu la bwana Kenyatta. Tayari waziri wao wa afya Mutahi Kagwe amekwishakiri kuwa Corona sasa hivi huko Kenya iko kila mahali. Heri hawa wanao ujasiri wa kuutamka ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania Familia za watuhumiwa ni sababu kubwa ya watu kushikiliwa na Polisi bila dhamana

    Sijui wangapi mna ‘personal experiences’ za kushikiliwa na Polisi kwa kosa lolote lile. Ni kweli Watanzania wengi ni wanyonge sana hasa wanapokuwa mbele ya dola. Hata wenye hela huwa ghafla wanageuka wanyonge hata haki zao zinapogandamizwa. Kwa mazingira na mazoea ya Kitanzania, bado wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mwaka 1997 ilinyesha mvua kubwa sana ya El Nino lakini maziwa hayakuleta mafuriko?

    (SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI) Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how. The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame. Source: Big earthquakes might make sea level...
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

    Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
  9. JamiiForums Tanzania Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

    Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona Jumapili na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majigambo ya Wana-CCM kuwa Wapinzani hawataambulia chochote: Napata hisi watapa pata pigo kubwa na takatifu litalofuta kabisa ndoto zao na tegemeo lao

    Hivi sasa ni kawaida kusoma au kusikia maoni ya wana-CCM kuwa wapinzani katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu hawatapata chochote huku wakiwalenga zaidi CHADEMA na kwa kiasi fulani ACT-Wazalendo. Kuhusu NCCR, kila mwenye akili anaelewa nini kinaendelea na ndio maana huwasikia wakiishambulia...
  12. JamiiForums Tanzania Afro East ni balaa kubwa

    The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it? Wanaija wamekubali huu mziki, sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo sio Magufuli, Watanzania tuna tatizo kubwa zaidi

    Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu. Nilichogundua Watanzania wengi wanaelekeza lawama kwa mtu, wanamkosoa sana Rais wetu, wanamzodoa kwa hatua mbalimbali lakini hawajui...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

    Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

    Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…