Afro East ni balaa kubwa

Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,359
5,831
The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it?

Wanaija wamekubali huu mziki, sasa ni hatua moja kwenda Billboard.
Thanks Africa music test

59ABFE4A-1597-4C89-A46A-2FB94300FACD.jpeg
 
Kama usemacho ni chakweli amepiga hatua kubwa sana KONDE BOY na akama angekuwa WCB basi hii habari ingekuwa kubwa zaidi ya hapa.
 
Watu wengi mnaomchukia Diamnd platnumz ndio mnaomjaza upepo huyu dogo, ila bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani anamchukia Mond? Niliendaga show yake Ulaya akiwa bado mchanga anavaa sweta la kijani na jeans nyeupe. Hapa hakuna utimu Mbongo akifanya vizuri tunamsifia kama Samatta.
 
The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it?

Wanaija wamekubali huu mziki, sasa ni hatua moja kwenda Billboard.
Thanks Africa music test

Uzi wako umeharibu kwa kusema kondeboy Ni msanii no 1 east Africa ungesifia tu hiyo album bila ya kusema hivyo watu wangekuelewa.
 
Inatrend naija huoni imekaa kinaija? Nyimbo nyingi anaimba kama wanaija.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom