Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema

Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo imeripotiwa kuongezeka kwa hivi karibuni hadi kufikia 40.4%

======
The proportion of all coronavirus related deaths in nursing care homes and private homes in England and Wales is increasing, according to the UK's Office for National Statistics (ONS).

Meanwhile the proportion of deaths occurring in hospitals in England and Wales is decreasing.

In the week ending May 1, deaths in care homes made up 35.7% of all coronavirus deaths, but that percentage has since increased.

"In the most recent days, the proportion of deaths occurring in care homes has accounted for 40.4% of all deaths involving Covid-19," an ONS report, released Tuesday, states.
The most recent ONS data available shows that 68.5% of Covid-19 deaths in England and Wales, registered up to May 1, occurred in hospitals, with the remainder mainly occurring in care homes, private homes and hospices.

Despite the proportion of deaths in care homes increasing, the overall number of coronavirus related deaths in the facilities decreased for the week ending May 1. Among all deaths in nursing care homes reported that week, 38.7% involved coronavirus.

Boris Johnson's government has been heavily criticised over the spread of coronavirus in care homes.
 
Duh!
Mungu awasaifir eanadamu kiujumka hali si shwari.

Uingereza hawajasema wanaowaletea maambukizi ni watanzania? Maana huku nchi jirani zake na Tanzania wanaletewa maambukizi na watanzania kwa uzembe wao wa kutochukua hatua
 
Care homes ni nyumba za kulea watu wenye mahitaji maalum, wazee wasio we za kujihudumia, mataahira, na walemavu.
 
Back
Top Bottom