Equity bank imeamua badala ya kudeal na benki mbili huko DR Congo ni heri izishikanishe pamoja ili ziwe bank moja kubwa. Benki za Kenya zinazidi kutesa ukanda huu wote. Naona uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi...
Habari zenu wakuu,
Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni.
Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu...
Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao malalamiko yao makubwa ni kutoka kwa Meneja wa TRA Masasi
Huyu jamaa anazorotesha sana biashara kwa...
Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha.
Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas.
Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi.
Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu...
Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021.
Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.
Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
Habari Wana jukwaa?
Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
Nkirwa world wide
JSulmtSpdorunsnote r11r,e 2gnd016iiih ·
UTU NI ZAIDI YA FEDHA NA HESHIMA YA DUNIA...
Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
Hivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC?
TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio yenye utata viwanjani ili kumsaidia refa kufanya maamuzi?
Ni nani anafaidika na maamuzi haya ya...
Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu.
Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu.
"Ukitaka cha uvunguni sharti uiname"
Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
Pale mjengoni "kundi la bundi" linaweza kutendea kazi hoja za NGAMIA na KESI ambazo zilitolewa na kwa nyakati tofauti. Hoja ya pili ya KESI inaonekana kama ilipendeza mfugaji wa Kibaigwa anayetembeza mkong'oto wa fimbo kwa kila anayesimama mbele ya maslahi yake.
Huyu mfugaji alimwambia KESI...
Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
They have no university education but their knowledge and application of artificial intelligence could surpass some graduates. Our reporter Robi Omondi caught up with two young innovators in their abode in Kikuyu, Kiambu County who have made prosthetics aimed at helping persons living with...
Kula katika sahani moja kulijenga upendo na uaminifu. Mtu unaekula nae sahani moja kila siku ni rahisi kumkukumbuka ukaribu wenu mmoja ajipata matatizo.
Leo hata vijijini mtaoakuliwa kila mtu kwenye sahani yake.
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo...
Wadau niambieni ukweli
Hivi kosa kubwa ni lipi hapa?
Mfano, unataka umjue vizuri bebe wako pindi àkikasirika anareact Veep au ndo mzee wa kupiga mke / mume ndani ya nyumba n.k
Ukimwambia "tuachane".
au
Ufume msg za mapenzi kwenye simu.
Hapo lipi linauma na halisameheki kirahisi?.
Iko...
Wale bado mna mashaka kwanini Wakenya wanasakwa na makampuni ya kimataifa.....
A congratulatory message to Dr Kariuki in New York’s Times Square Billboard after he was named Velosbio’s new Chief Finance Officer.
Dr Enoch Kariuki was honoured in New York Times Square billboard after he was...
Chebet Lesanu, the founder and CEO of Bright Green Renewable Energy
(COURTESY)
A Kenyan woman has emerged the winner of the second edition of Jack Ma Foundation in the Africa Business Heroes 2020 where she will be pocketing a grant of Ksh33 million.
Chebet Lesanu, who is the founder and CEO of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.