Uchaguzi 2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,026
2,000
Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba.

Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi gani. Haya ni baadhi tu ya maeneo niliyoyaona.

1. Rasimu inapendekeza kuhusu umiliki wa ardhi.
2. Rasimu inampunguzia RAIS uteuzi was viongozi.
3. Rasimu inatoa Uhuru kwa mgombea binafsi wa uraisi.
4. Rasimu inamtenganisha Rais na Bunge.
5. Rasimu inapendekeza Serikali ya Muungano kuwa tofauti na ya sasa.
6. Rasimu inaipa tume ya UCHAGUZI nguvu zaidi kuliko kumtegemea Rais.
7. Rasimu inapendekeza ukomo wa mbunge kuwa ni awamu tatu tu na hakuna by- elections.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom