kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mike m

    JamiiForums Tanzania Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

    Natumain nyote hamjambo! Nilikuwa ofsini asubuhi saa mbili ile tulikuwa tunapiga story na wafanyakazi wenzangu kama wawili wa kike na sisi me tupo wawili. Tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuhusu mapenzi, mahusiano na ndoa, tuliongelea pia masuala ya size za mashine za wanaume.. Kwa...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wahitimu wa vyuo wasio na kazi au kufanya kazi za kawaida hudanganya wana Elimu ya Kidato cha 4, 6 au Stashahada

    Nimefanya utafiti nimegundua kundi kubwa la graduates wasio na ajira au wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na mtu mwenye Elimu ya chini wanajishusha elim zao kundi hili hudanganya wana elim ya form 4, form 6 na wakienda sana basi ni Diploma. Sizungumzii ile kujishusha ili upate kazi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi katika Mihimili ya Uongozi Tanzania yanatolewa kufuata hisia za mtu na sio ushahidi (facts) au Sheria

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu! Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi. Na...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa bao la Clatous Chama

    Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted. Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa na team Nigeria. Wanasema hata kwenye simu zako waki-upload kwa wengine inashindikana. Huwezi...
  5. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

    Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile? Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo. Ashajifungua mara mbili.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  7. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mhubiri wa Kiroho Kanisa la Mwenge Mpakani: Ukiwa umelala na Ukaota unakula Chakula, jua Wachawi ( Wanga ) wanajisaida Haja Kubwa Mdomoni mwako

    Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku...
  10. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Kuna jinai kubwa imetendeka. Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha. Source Tanzania Daima My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema Maendeleo hayana vyama!
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

    Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
  13. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Fahamu Alama ya jicho lenye maana ya siri kubwa likihusishwa na Ushetani

    Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama inayohusishwa na masuala ya ushetani ambayo pia imeonekana kuwa na uhusiano wa karibu na Iluminati...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tabia za watu wa mwambao wa ziwa Manyara zimebebwa na historia kubwa

    Nimekita kambi maeneo ya mwambao wa ziwa manyara kama sehemu ya ziara ya kuijua tabia asilia ya Masai, wambulu, Wamang'ati na wengineo! Huku napata kujua misingi na tabia ya asilia kutoka kwa mababu zao ni ipi! WAMBULU Mzee mmoja wa kimbulu ananidokeza kwamba, Kwao mwanamke ambaye Ujauzito...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

    Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa. Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa. Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hii kwangu imekuwa changamoto kubwa. Hata natamani kukimbia home

    Habari! Mimi nmejenga sehemu moja hapa Dar kms 16 kufika Posta kwenye Mnara wa Askari. Nachelea kusema ni mbali na Jiji au si mbali sana. Kiwanja nilinunua kikubwa sana.of course Mzee alitununulia miaka hiyo ya 90s then nami nikaja ongezea so nina eneo la kutosha hasa. Nmejenga na nimepata...
  18. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - bunduki zilizotengenezewa hapa Kenya zinatumika Somalia

  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa mapema kwenye ndoa kwa sababu moja kubwa ya wao kuwa na umri mkubwa kuliko wake zao

    Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu. Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea. Sasa tukija kwenye mas'ala ya...
Back
Top Bottom