Fatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine
Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA
Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini?
Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama TFF huku kufuta wiki hii ratiba ya game ya Barca na Sevilla sababu wachezaji wengi wamechelewa...
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.
Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.
Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
Asilimia kubwa ya familia zilizopo Tanzania wazazi na walezi wameweka imani yao katika Elimu na hata kuwaza kwamba pasipo elimu hakuna mafanikio hali hii imeathiri hadi watoto wa wazazi hao na kusababisha wanafunzi kuweka imani yao katika masomo pekee, na kwamba bila kusoma kwa bidii hakuna...
Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana.
Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama hii na kwa viwango hivi haiwezekani
Wasio na hela(seat): 100,000
VIP Table ...
Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu yetu imepitwa na wakati na inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Kwa historia elimu yetu...
MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini?
MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki. Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote...
Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african
Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga...
Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea.
Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa.
Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinataka kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani na hivyo kishike hatamu za uongozi wa taifa letu. Katika kufikia lengo hilo CHADEMA kimetumia mbinu mbalimbali na kushiriki chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi za chini kabisa...
Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya.
Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge.
Wengi...
Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) ni kodi ambayo inatozwa kwenye ongezeko la thamani ya bidhaa katika kila hatua ya uzalishaji hadi kuuzwa. Hata Mamalaka ya Mapato Tanzania(TRA) wameweka maana inayofanana na hii. Kabla sijaenda kuipinga kwanza nielezee namna VAT ipo theoretically
Mfano
Mkulima...
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE
RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...