SAKATA: Hii ndiyo tofauti ya Media za Tanzania na Nje

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,731
21,133
Angalau huyu kwa kutumia katuni ameongea kitu kikubwa ambacho mwandishi wa kawaida story yake isingetoka👇🏾.

IMG_20210315_074605.jpg

Huyu ni mwandishi wa nje ya Tanzania au ni yule asiye na mipaka, yawezekana yupo hapa nchini ila katumia chombo cha nje, ambapo hapa ndani ni hofu inatawala 👇🏾.

 
Ushauri wa bure ukiona article yoyote ya kiingereza kuhusu Tanzania soma juu mahala ilipoandikwa utaona zaidi ya asilimia 90% ya hizo article zinatokea nchi mmoja Afrika mashariki mbali na Tanzania .
 
Kifupi ni rahisi mtu wa nje kumtukana mzazi wako kuliko wewe mtoto uliyeko nyumbani kumtukana mzazi wako mnayeishi naye..Simple logic!!!
 
Nyie mmekurupuka na yawezekana hamjaiona asubuhi, kama hamjaelewa bora usome na upite kushoto.

Ukisoma heading tu, inaweza kukupa mwanga what i meant na issue ya kukamatwa raia kisa boss mwajiliwa wako anaumwa ni tusi,🤮!.

Ushauri wa bure ukiona article yoyote ya kiingereza kuhusu Tanzania soma juu mahala ilipoandikwa zaidi ya utaona asilimia 90% ya hizo article zinatokea nchi mmoja Afrika mashariki .
Ushauri wa bure ukiona article yoyote ya kiingereza kuhusu Tanzania soma juu mahala ilipoandikwa zaidi ya utaona asilimia 90% ya hizo article zinatokea nchi mmoja Afrika mashariki .
 
Back
Top Bottom