kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

    KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE! Anaandika, Robert Heriel Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika mioyo yetu Sisi wanaume. Kama hatukupendi ni hatukupendi tuu! Kuna jinga moja litasema kama...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku magari ya mnadani kubeba abiria

    Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani. Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa sote kubeba jukumu la kutunza Rasilimali za Maji

    Mamilioni ya watu duniani kote hawana ufikiaji wa kutosha wa mojawapo ya vitu muhimu zaidi katika maisha - yaani maji safi. Ingawa serikali na taasisi za kimataifa zimesaidia wengi wanaoishi katika maeneo yenye tatizo la maji kupata huduma kwa kadiri inavyowezekana, bado tatizo hilo linatarajiwa...
  7. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kubeba vitu vyote vya ndani kwa mwanaume

    Habarini wana Jamii Forums! Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida! Kuna mwamba hapa alitokea zake kwenye mizunguko akafika rangi tatu pale ( mbagala zakiem ) kutokana na uhaba wa usafiri hasa kwa...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio hoja zangu kwenye sakata la ndege inayotajwa kubeba watalii

    Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi. Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma. 1. Kila mtanzania anajua kuwa baadhi ya viongozi walishawahi jihusisha na usafirishaji wa wanyama hasa...
  10. Financial

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

    Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii. Lionel Messi anaenda kuwa kinara baada ya mchezo mkali dhidi ya Ufaransa. Atastaafu kwa heshima kama mchezaji bora zaidi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos. Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa ni Saudi Arabia pekee iliyocheza mpira wa kuweza kubeba Kombe la Dunia

    Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
  15. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mbappe na Haaland nani atakuwa wa kwanza kubeba Ballon d'Or?

    Haaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe. Wewe mtazamo wako upoje?
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

    Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida. Kwa kweli kama mwanaume sio...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Barcelona inamtaka Jorginho akabebe mikoba ya Sergio Busquets

    Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023. Kocha wa Barcelona, Xavi anahitaji mtu anayeweza kuziba nafasi ya Sergio Busquets mwenye umri wa miaka 34 ambaye anaelekea...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

    Huku tozo, kule kina Simbachawene. Huku dhuluma, watuhumiwa wakuu vyombo vya dola. Haki hamna, masanduku ya kura hayaheshimiwi. Mambo lukumba lukumba, tunatokaje hapa? Muhimu tukatambua hatutatoka hapa bila kulipa gharama ambayo haitakuwa ndogo. Hatutatoka hapa bila organization wala uongozi...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

    RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
Back
Top Bottom