Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,892
KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE!

Anaandika, Robert Heriel

Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika mioyo yetu Sisi wanaume. Kama hatukupendi ni hatukupendi tuu!

Kuna jinga moja litasema kama haumpendi binti WA Watu Kwa nini umtongoze? Ukiona MTU yeyote anauliza swali Hilo ujue ni mwendawazimu, mjinga na ambaye hatumii Akili zake vizuri.

Mimi kukutongoza sio kigezo wala sababu ya kukupenda, ni tamaa zangu tuu ndio zinataka nizishibishe, nichape mzigo Roho itulie.

Binti zangu, dada zangu. Sisi tunavyowatongoza haimaanishi tunawapenda. Tunataka Jambo moja tuu nalo ni kuwatumia tuu. Usije ukajiloga ukajibebesha mimba Kwa lengo la Kutaka tuwapende.

Nataka niwaambie kuwa Wanawake tunawaona ni Wazuri pale tunapokuwa na tamaa ya ngono juu Yao. Tukishawalala na kuwatumia Kwa kweli tunajutia, ni kama macho yetu yanafunguliwa, ule uzuri wote unayeyuka. Hatuoni tena uzuri wao. Nazungumzia Wanawake tusiowapenda.

Ndio maana tukishalala na Wanawake tukitoka tunaweza tusiwatafute kwenye simu wala kujibu meseji mpaka siku tatu au wiki Kabisa. Ni mpaka hamu ya ngono irejee tena.

Jukumu la mimba lipo Kwa MWANAMKE. Wewe Binti na dada ndiye mwenye uamuzi wa kubeba MIMBA. Na elewa kuwa kama kijana hajakuoa au ni Mume WA MTU huyo usimbebee mimba.

Tumeelewana nafikiri

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mwanaume kumpenda mwanamke ni jambo moja, na mwanamke kumzalia mwanaume haimpi uhakika wa kuolewa.
Kuzaa ni matokeo ya starehe kati ya mwanamke na mwanaume, na sio kila starehe inaweza ikaleta matokeo ya mimba
 
ila napo kuzaa na mtu usie mpenda ni uchizi mwingine huo😅😅

Kumla mtu usie mpenda pia ni aina ya uchizi mwingine

Kumvulia nguo mtu usie mpenda ni aina ya wehu pia 😅
 
Mwanaume kumpenda mwanamke ni jambo moja, na mwanamke kumzalia mwanaume haimpi uhakika wa kuolewa.
Kuzaa ni matokeo ya starehe kati ya mwanamke na mwanaume, na sio kila starehe inaweza ikaleta matokeo ya mimba
Starehe hiyo hiyo inaweza ikaleta matokeo mabaya kama magonjwa especially U.T.I sugu,gono,UKIMWI....n.k
 
Tena ukiibeba bil makubaliano yoyote, yaani hadi nitakuchukia. Decision to conceive or not is made by a woman, ila makubaliano yafanyike kabla, short of that hakika nitakuchukia.
 
Back
Top Bottom