Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.

Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya Tsh ikakauka... akashindwa hata kulipa wafanyakazi wake mishahara yao.

PS: Na nyie robo robo fc, kwa pira lenu hili la patua patua, mtafia Ndola. Mkija NBC league tunapiga 5-0 kwenye mshono. Msimu huu Mtajua hamjua
 
Hakika! Tutabeba kuanzia Ngao ya Jamii hadi ubingwa wa CAF CL
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hakuna timu ya maana mliyoifunga zote ni vilaza.Ni timu ya kawaida ambayo hata makundi CAF haingii
Na walipocheza na timu zoefu ya hayo mashindano wakafunga mabao mawili ya offside kisha wakadondosha mojawapo ya vikombe vyao vya msimu uliopita.Mapema kabisa asubuhi.
 
Nyie jidanganyeni na hilo lingao la jamii. Sisi tuliwaachia kwa kuwa halina faida
Usijifariji
Hakuna mechi hata moja ya derby ambayo timu moja inapenda kupoteza, hata kama ni ya kirafiki. Hiyo ngao ya jamii miaka miwili iliyopita mlikuwa mnaihesabu katika idadi ya 'makombe' 😁
 
Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.

Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya Tsh ikakauka... akashindwa hata kulipa wafanyakazi wake mishahara yao.

PS: Na nyie robo robo fc, kwa pira lenu hili la patua patua, mtafia Ndola. Mkija NBC league tunapiga 5-0 kwenye mshono. Msimu huu Mtajua hamjua
Amka utajikojolea
 
Back
Top Bottom