Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

2019112809442696.jpg


Watoto wasalimie wazee.
 
Habari wana jf,

kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA ,0623 306 403
[/QUOTE
Fungua akaunti yako benki .
Uwe na utaratibu wa kuweka pesa benki.

Kama unahitaji kubadilisha tu kiusalama nenda benki.

Mtaani utakutana na

1) Majizi yakupore pesa zote.

2) Matapeli yakuchomekee noti bandia .

NARUDIA,NENDA BENKI KAZI AFIKISHE .
 
ungekuwa dar ni deal nzuri sana vituo vya daladala,buku kwa 800.

au kama ni hela nyingi unampa mtu tu anakuja nayo mjini anaanza biashara hii,kila wiki unampa nyingine.
 
Back
Top Bottom