kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza utaratibu wa kubadili jina

    Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM imekosea sana kubadili sera ya Ujamaa na kuhamia Ubepari

    LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

    Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadili vyeti NACTE

    Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja. Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
  8. JamiiForums Tanzania Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

    Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia. Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yagoma kubadili masharti ya Dhamana ya Mkurugenzi wa JATU

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya aliyotaka apunguziwe masharti ya dhamana ili aweze kudhaminiwa. Gusaya anakabiliwa na shtaka moja la kujipatia Sh 5.1bilioni kutoka katika Saccos ya JATU kwa madai kuwa fedha...
  10. JamiiForums Tanzania NIDA: Ruksa kubadili Vitambulisho vilivyoisha muda au vyenye ukomo kwa Tsh. 20,000

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema ni ruksa kwa yeyote anayetaka kubadilisha kitambulisho chake cha Taifa kwa kulipia gharama ya Sh20,000. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Geoffrey Tengeneza ameyasema hayo Jumatano Februari 22, 2023 wakati...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili dini na badae ukarudi dini yako ya awali? Ilikuwaje?

    Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo. Tunaomba mlete uzoefu.
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Kubadili Private Company Kuwa Public Company

    Habari za mwaka huu wa 2023, ni amtumani yangu kwamba katika safari yako ya upambanaji unaendelea kujipa moyo na kupambana kwa nguvu.Usikate tamaa. Leo nataka nichongoze mada ndogo yenye ukubwa. Naichokoze hii mada ili niweze kuamsha hamasa kwa wale ambao wana maono makubwa basi waweze...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

    Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia. Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran. Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Je, katiba pekee ndio inaweza kubadili mienendo na siasa za Tanzania? Kama sio basi nini kifanyike kubadili siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla?

    Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili. Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima? All in all ebu...
  17. JamiiForums Tanzania Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

    Habari wakuu, Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo. Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walianza kampeni za kubadili Katiba, Mungu akawajibu. Inaonekana watu hawajifunzi

    Ama kwa kutumwa au kwa tabia ya uchawa, kuna watu walianza kampeni ya kubadili katiba ili Mwendazake aendelee kutawala hata baada ya muda wake kwisha. Ni bahati mbaya watu hatujifunzi kutokana na makosa kwani tayari na wengine wameanza kurudia makosa yale yale utadhani wameongea na Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…