Habari wakuu,
Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
Ama kwa kutumwa au kwa tabia ya uchawa, kuna watu walianza kampeni ya kubadili katiba ili Mwendazake aendelee kutawala hata baada ya muda wake kwisha.
Ni bahati mbaya watu hatujifunzi kutokana na makosa kwani tayari na wengine wameanza kurudia makosa yale yale utadhani wameongea na Mungu...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu".
Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake.
Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
Ndugu zangu naombeni anaye jua jinsi ya kubadili font za hii app ya sport pesa ziwe za kupendeza anisaidie maana Kila nikidowload app nikibadili inagoma sijui nitumie app gani?
Napata ufunuo ambao inaonyesha Rais Mama Samia atafanya vizuri sana kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini kutokana yanayoendelea ktk uchaguzi ndani ya CCM kipindi cha pili kinaweza kikawa kigumu licha ya kuwepo kocha mzoefu kamanda Kinana.
Nafahamu Mama hana uchu wa madaraka angeweza kusema...
Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa.
Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
Hello Wadau!
Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti.
Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule.
Mwanasheria Mkuu pia...
Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea.
Maisha ya mwanadamu anaeishi...
Wakuu naomba msaada wa kujua kubadili kadi ya umili wa gari
1. Gari ina cc 1990 ya mwaka 2000
2. Nimenunua kwa mtu wa Mwanza mwaka jana,ila mimi naishi chanika dar
3. Niende TRA ipi kwa hapa Dar?
4. Nilinunua 8500,000/=niandae kama sh ngapi?
5. Nina karatasi ya mauziano ya kawaida tu ya mkono,na...
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa
FUATILIA
========
Monkeypox to get a new name, says WHO
Yesterday 6:34 PM
The World Health Organization says it is working with experts to come up with a new name...
Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji:
1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus.
2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta:
I. Adobe ...
kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili.
Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili.
2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka.
3. Dk . Bashiru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.