kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  2. JamiiForums Tanzania Naomba Kikosi kijacho cha Taifa Stars kiteuliwe kwa Kuangalia Uzalendo, Uchungu na Upambaji wa Beki Ibrahim Baka

    Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi. Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

    Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa... "Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona...
  4. JamiiForums Tanzania Kila napopata machungu ya Man Utd huwa narudi kuangalia hii picha kukumbukia ya kale.

  5. JamiiForums Tanzania Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

    Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya? Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi nimeacha kuangalia mechi za Chelsea FC

    Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
  7. JamiiForums Tanzania Wangapi tumeangalia series nyingi kiasi kwamba tunateseka sana kupata series mpya za kuangalia

    Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini. Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
  8. JamiiForums Tanzania Narudia kuangalia season ya Merlin. Aisee Guenevere alikuwa penda penda mno 😂😂😂😂

    ...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Habari za saa hizi wote kwa ujumla. Tumshukuru Mungu kwa uzima . Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika. Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  12. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  13. JamiiForums Tanzania Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

    Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele. Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Kifahamu kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi

    Ni hiki hapa wakuu. Vipo vya aina kadhaa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
  16. JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  17. JamiiForums Tanzania Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

    Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
  18. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…