kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama pambana na malimbikizo na haki za wastaafu usije kosa baraka hapo Utumishi

    Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri Ukiingia chumba cha Approvers ni aibu mafomu yametupwa kila mahali na kupelekea kupoteza haki za watu Kuna...
  2. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

    Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndugai hakutakiwa kuomba msamaha; Sasa kajitia kitanzi mwenyewe

    Kwema wakuu! Katika duru za kisiasa, kinachoendelea ni sakata la Mhe. Spika na Mkuu wa nchi, Mhe. Rais Samia. Nimesikiliza pande zote mbili nikaona nami nitoe maoni yangu. Kama mimi ndio ningekuwa Spika nisingeomba Msamaha, ningeweza kufafanua kauli zangu kwa namna ya kutetea kile nilichokuwa...
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

    Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas. Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali. "Watanzania tumshukuru...
  6. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Kosa dogo linaweza kutufanya tusipendwe na watoto wetu hapo baadaye. Mwanangu wa miaka mitano amenistua leo

    Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU. Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha. Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  10. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  11. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Kijana wa namna hii tukimfukuza ni kosa?

    Wanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri, na niwatakieni mapumziko mema. Wakuu kuna dogo kaja Dodoma hapa yuko UDOM hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako...
  12. S

    JamiiForums Tanzania WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa la lugha katika Penal Code (2019)

    Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176 Neno person ni tofauti na Parson
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

    Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali". Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi...
  17. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM watakubali kufanya kosa walilofanya 2015?

    Ni wazi umaarufu wake kwa sasa umeporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Laiti uchaguzi ungekuwa ni leo kisha akasimamishwa yeye na mzee wa ubwawa ni dhahiri shahiri mzee wa ubwabwa angeondoka na ushindi. Kauli zake pia zimechangia kwa kiasi kikubwa kuzidi kuporomosha umaarufu wake. Kujimwambafai...
  18. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

    Kama umefuatilia angalau chache kati ya post zangu, utagundua kuna maneno huwa yanajirudia, mfano: DUNIA IMEJAA UONGO, UNACHOONA SICHO KILICHOPO, nk. I mean what I say. Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuvamiwa na kuuawa kwa Sadamu Hussein ni uongo Kile ambacho dunia iliambiwa ni...
  19. Dr Lizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

    Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid. Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

    Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
Back
Top Bottom