kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

    Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

    Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni? Case study Haji manara! Sikio la kufa! Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa kuoa katika familia ya kichawi?

    Hiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri. Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba kuna scenario mama ake huyo binti alikamatwa akiwanga, wazazi hawataki hata kusikia kuhusu huyo...
  4. Z kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina kosa hapa?

    Nawasalimu nyote. Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao. Pale kwao ni mabingwa wa kutengeneza vitafunwa Sana, na mm ni mteja wao, kwa vile vitafunwa vyao ni pendwa ukichelewa tu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

    Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba, Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale. Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  8. koboG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

    Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri. Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia umefanya Kosa Kubwa kuonana na Manara na akifungiwa tegemea kuona Unafiki wake na atakavyokuchafua na TFF yako

    Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae. Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Plasduce Mbossa atakuwa kaliona kosa la Eric Hamissi

    Ukipewa madaraka tegemea siku inakuja utatenguliwa, Ukifurahia picha ya pamoja pale ikulu ukiwa na familia yako pembeni ya Rais jua kuna siku hao hao watakuliwaza jioni baada ya barua yako kusambazwa mtandaoni. Hiyo ni tamu na shubiri ya madaraka kukasimiwa kwa mtu. Eric Hamis ni kama hakujua...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza. Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Upuuzi: Simba wanaenda kurudia kosa lilelile kwa makocha

    Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika hawajatuma cv? wanajua shobo zenu kwa wazungu, mko radhi mumpe kazi mtu ambaye hajui soka la afika wala...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  15. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Bi Sara alifanya kosa kubwa la kimkakati na aliponzwa na Moyo wake huruma

    Wadau hamjamboni Ni hoja ya Kisiasa ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja ya kidini ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja mchanganyiko pia ukiamua iwe hivyo Ni mada inayomuhumu Bi Sara mamake na Isaka Kwangu Mimi naileta kama hoja ya Kisiasa Uamuzi wa Sara uliompatia haki Mumewe ya Kufanya kile...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

    Ni aliyepata kuwa mlinzi mahsusi wa JPM bwana Oscar. Jamaa ni bomba na anaendelea na majukumu yake kama kawaida. Keep RIP JPM!
  20. H

    JamiiForums Tanzania Traffic police na kosa la ubovu wa gari

    Habari, Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika, Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo...
Back
Top Bottom