Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
320
1,000
Habari,
Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam.

Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million hivi. Mbali na Gharama za mtu wa Clearance 200,000/- kuna gharama zozote nyingine ninazotakiwa kulipia pale bandarini?

Nimesikia kama kuna tozi ya ushuru wa bandari,
Naomba kufahamu ni kiasi gani au wapi naweza kufanya calculation zake?. Labda gharama zao zinaanza baada ya muda gani kupita?

Nashukuru sana kwa Msaada na taarifa hizi muhimu.
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,341
2,000

Haitazidi laki 2.5 kwa ka gari ka kodi ya m4 ila ningejua gari gani ningekujibu vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom